Hq_logo

Mzuri Pads

MZURI PADS

The pad has an oxygen permeable film which helps to balance the feminine PH level. Features unique absorbent technology that offers protection for an all-day clean feel.
SIZE QUANTITY
330mm 1 packet – 6 pieces

1 carton – 28 packets
LIGHT

FAQ’s

Hapana, hauna madhara yoyote, ule ubaridi ni kukuweka fresh pindi umevaa pad yako na kukata harufu mbaya.

Ni jani jamii ya mchaichai

Imetengenezwa kwa pamba 100%, inayofyonza na kuhifadhi kimiminika hivyo kumuacha mtumiaji akiwa mkavu wakati wote.

Pedi haileti muwasho, tunakushauri ukamuone daktari kwa vipimo zaidi.

Hapana, ni pedi yetu imetengenezwa kwa pamba 100% inayofyonza kwa haraka na kuifadhi kwa wingi ile hedhi haikai pale juu ndo maana unaona kama inapungua.

Hapana, ni pedi yetu imetengenezwa kwa pamba 100% inayofyonza kwa haraka na kuifadhi kwa wingi ile hedhi haikai pale juu ndo maana unaona kama inapungua.

Tuna pedi zetu amabzo hazina ubaridi ila ubora ule ule kama zenye ubaridi. Anza kutumia hizi hc no mint (blue) ili uwe huru katika siku zako

HC haisababishi muwasho, huenda una allergy ya jani jamii ya mchaichai tafadhali nenda hospitali

Inashauriwa kuvaa pedi masaa sita kiafya kama una hedhi ya kawaida lakini kama ni nyingi tafadhali badilisha kila inapojaa

Utaipata madukani kote kwa bei ya tshs. 3,500/= tu.

Ndio ni nyembamba, lakini imetengenezwa kwa pamba 100% hivyo hedhi hunyonywa na kuifadhiwa bila kutuna kwenye nguo.

Pedi yetu inagundi lakini inategemea na nguo ya ndani uliyovaa kama sio pamba 100% hua haishiki vizuri.

Ndio, unatakiwa kununua mzigo kwanzia carton 1000

Tuna 338mm hiini ndefu na tuna 290mm hii ni fupi na bei ni moja kwa size zote.

Inategemea imehifadhiwa wapi na kwa muda gani, nkama kuna joto basi ule ubaridi una yayuka lakini bado ubora ni ule ule.

Scroll to Top

Enquiry Form